
Tujiulize na majibu tujipe wenyewe kama mwanajamii ujaliye
ustaarabu,mheshimu utamaduni wa nchi yetu hii kwani tunakoelekea hatujui
ila ishara hizi zatosha waziwazi kuwa dada zetu (baadhi) utu umewatoka
na wamebaki kwenye maslahi tu na mwili wake ufannywe vyovyote ila
umbakishie uhai wake tu!!
ANDIKA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HII HABARI
JIUNGE NASI KWA KUTEMBELEA UKURASA WETU WA FACEBOOK (Mwangaza)
0 comments :
Post a Comment